@PresenterNoah Walikuwa wanafaham ila lengo lilikiwa ni kuwadhulimu mashabiki wao (mbumbumbu) nafkiri wameshapiga hela ya kutosha ndo maana wameona wawaambie ukweli Sasa π€£π€£
@Ashraf03507367 @SimbaSCFansPage Tena watakuja na maneno rahisi kabisa kwa mashabiki wakati uwezekano wa kuzuia hili lisitokee walikuwa nao ila wakakaza mafuvu yao