@fbuyobe Hiyo familia ni shida! Ni kama matapeli tu wanatumia dini kama kichaka, kuna yule mdogo wake naye anajiita nabii ila mafundisho yake ni takataka kabisa
@EsirEid Kaka kwani ulitegemea marekani hawatapata hasara? Itakuwa vita gani hiyo ambayo upande wa pili hawawezi kufanya lolote? Hata "Osman bey" huwa anapigwa (๐)
Tatizo umewachukia wamarekani kupita maelezo.
@cokeboyyi@MK47TA@fbuyobe Hakika! Ni bora angezaliwa mbuzi pengine angekuwa ameshachinjwa na kuliwa nyama na kusingekuwa na usumbufu kama huu anaotuletea.
@assengajrr@slugger_tz Sasa angeandikia makabila mangapi mjinga wewe? Hicho kichwa chako kinafikiri vizuri?
"Waraka huu ukiisha kusomwa kwenu fanyeni kwamba usomwe katika kanisa la Walaodikia pia; na ule wa Laodikia usomwe na ninyi."
(Wakolosai 4:16)
Kama utashindwa kujiongeza hapo utakuwa huna akili!
@MakalaSimuzi@pastajoshuatz Hata usipate shida sana soma Quran utaona haongei mtu mmoja bali anatumia wingi. "Tena tukafuatisha nyuma yao Mitume wengine, na Tukamfuatisha Isa bin Mariamu, na tukampa Injili. Na Tukajaalia katika nyoyo za walio mfuata upole na rehema..." (sasa waulize uone wanavyojiumauma)