@Roma_Mkatoliki Umeweza kumpa majibu ya maswali ndo maana kakata simu. Na yy kajichanganya akili uliyokuwa nayo akujipanga. Ata ameshindwa kujipa mawazo ya kuwa mashaili yako yanaitesa selikali yy ndo wa kushindwa kujipanga
Simba inapaswa ikemee mashabiki wake kuwa wanapaswa kuwa wastaarabu pale wanapokwenda kutizama mechi za Yanga. Wasiingie uwanjani kwa lengo la kuwakera na kuwakejeli mashabiki wa Yanga, kejeli siku zote hazivumuliki"