Siku ya Jana kuelekea kilele cha wiki ya #Mwananchi tulipata wasaa wa kutembelea shule ya Msingi Twangoma Katika Idara ya wanafunzi wenye uhitaji Maalumu wasioona. Na Kufikisha tulichojaaliwa kama Tawi la Wanachama wa Yanga kutoka kwenye mtandao huu wa X.
Uongozi wa Young Africans, chini ya Rais Eng Hersi Said, Makamu wa Rais Arafat Haji na Wajumbe wa Kamati ya Utendaji wametoa ofa ya kuwanunulia tiketi mashabiki wote waliosafiri kuja Kigali, Rwanda kwa ajili ya mchezo wetu wa kesho dhidi ya Al-Merrikh SC
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko