Usipochagua kucheza mchezo wako mwenyewe, jamii itakuchagulia mchezo wake
Na michezo ya jamii ni ya kinoko sana. Changamoto zile zile. Utaratibu ule ule. Kwa miaka 40 hadi utakapostaafishwa
Uhuru na furaha yako hadi upewee ruhusa, utapangiwa muda wa kula hadi nguo za kuvaa
@fatma_karume Napenda unavokua cautious ni kweli anapenda haki au yeye na uongoz uliopo kuna sehem hawakubalian? au labda hapat anachokitaka na ameona njia rahis ya kuish kwenye hio hali ni kufanya alichokifanya (kujiuzilu)
Goodmorning!
Usibabaike wala kutamani maisha ya watu wengine jinsi wanavyopost mitandaoni au kwenye status ukiona zinakupanikisha sana basi ziwe chachu ya wewe kupambana ufikie mafanikio unayotaka bila kudhuru mwili au kudhuru maisha ya watu wengine
Nilichojifunza kwenye haya maisha, usitengeneze watu individually, bali tengeneza taasisi imara!!
Ukitengeneza taasisi imara, basi hata wakiondoka watu wote likabaki jiwe, still taasisi inaweza isife ikasimama na ikaendelea kuaminika na kuwa na wafuasi loyal!!
CDM iliwahi kuwa na miamba haswa kwenye politics zetu, Miamba ile ikaondoka na kwenda vyama vingine….CDM Still ilisimama.
Covid 19 walivyoondoka wengi waliamini CDM imefika mwisho, Lakini bado Wafuasi wengi waliendelea kuwa na imani na ngome hii ya upinzani!!
Hapo katikati waliondoka wengine wengi tu na kuisema vibaya CDM lakini bado imesimama!!
Na sasa wanaondoka G55 Naamini CDM bado watasimama!!
Watu hawako CDM kuwafata viongozi, ndiomaana viongozi wanaondoka watu wanabaki!!
CDM imejinasibu kama ndiyo taasisi imara ya upinzani nchini!!
Mungu awabariki kwakweli, hata kama msiposhika dola.
Lakini uwepo wenu unatuponya mno mno mno kwa maana mnahubiri injili inayompendeza Mungu aliyehai!!
@Wakazi Who should we blame for this “the donor” or the “recipient”?!
I think our African leaders are a bit selfish , getting the aids and wanachukua a big cut for themselves and the little remains spend it on unproductive projects
But still can’t we live free from those aids au tmezoea