@DrMbowa@Jaguar_455 Kweli kila mtu na ujuzi wake yaani ccm hamuoni umuhimu wa watu tena mnataka kutawala majini au mazombi ...watu wapotee bado muone ni sahihi tu kisa nyie na familia zenu mko salama ....chama cha siasa ni kuongoza watu sio makaburi
@EsirEid Sasa tajiri umechagua upande na sasa umeamua kuwa kwa wasaliti je ww una una ccm ndani yako??? Hata lema alianza kama ww mwishoni amejulikana kiama chako hakiko mbali
@Malleys123_@Sativa255 Lema hatakiwi kuitwa kamati kuu atakana hizo tuhuma tu na hapo ataendeleza uhuni ...wamtoe kamati kuu abakie mwanachama wa kawaida
@mwatika01 Chadema ikifa harakati zinaendelea, kitu hujui ni kwamba kuna wakati CUF, TLP, NCCR walikuwa moto kuliko hata CDM ya sasa ila wamekufa na harakati zinaendelea