Kuna haja gani ya kuwa muungano, watu wa Zanzibar wana ubaguzi mkubwa sana Watanganyika sisi ndiyo tunajipendekeza kwao mbona wao walishatukataa zamani 🤣🤣🤣🤣.
Huyu jamaa alifikiri anaweza kudanganya watu mimi nachojua alitumiwa na system kusema ule ujinga hatutaweza kumsamehe hadi anaenda kaburini na akae rada VIJANA watamtupia mawe One day ngoja uone.
Leo ni mei mosi, Siku ya wafanyakazi Duniani.
Wafanyakazi Watanzania wasio na vyama vya wafanyakazi.
Vyama vya wafanyakazi vilivyotakiwa na kutegemewa kusemea mishahara bora, hali za maisha ya wafanyakazi, makazi yao, usafiri, gharama za maisha na hata ajira.
Vimegeuka chawa, viongozi wa vyama vya wafanyakazi ni makada wanaokula rushwa na kunyamazia maumivu ya wafanyakazi..
CWT, TUCTA wanasema nini kuhusu kupanda kwa mafuta, gharama za maisha , wako kimya wana ndoa na serikali dhalimu… wanachukua michango ya wafanyakazi Lakini hawana msaada kwa wafanyakazi..
Ni muhimu wafanyakazi mkaungana na watu wanaowasemea na kuwapigania ili muweze kuleta Mageuzi ya kweli.
Hakuna cha kusherekea tofauti na kupumzika nyumbani leo.
Hawa watu hata aibu hawana ni watu wa Ajabu sana Siku wakikubari ukweli mbona hili swala linaisha tu lakini wakiendelea kujitetea halitaisha na litawatesa sana.
NB: UKWELI huwa hautetewi huwa unajitetea wenyewe umeisha toa report acha wajuajuaji tuchambue tuwaoneshe matobo yake.
Sisi wananchi tulio wengi tunataka kujua hicho kinachoitwa Tume ya CHANDE kije na majibu je ni nani aliyetoa order October 29 mwaka jana ya kwamba majeruhi wapelekwe mortuary na siyo Wodini kwa ajili ya matibabu ya majeraha yao!.
NB: MARIDHIANO YALITAKIWA KABLA YA UCHAGUZI.

Hicho kinachoitwa Tume ya CHANDE tunaomba kije majibu ya haya matukio!
1. Hawa polisi nani aliwatuma kupiga watu namna hii?
2. Hii miili inayonekana hapa ilipelekwa wapi?
2.huyo Mama wa Arusha kwa nini alipigwa Risasi alikuwa na kosa gani?
NB: Bila hayo majibu Tume ni zero.
MARIDHIANO NA NANI?
1. Ushindi wa kura 31M sawa na 98% unaomba MARIDHIANO na nani?
2. Unakubarika nchi mzima unaomba MARIDHIANO na nani?
3. Walioandamana October 29 wengi walikuwa ni vijana wa nchi jilani unaomba MARIDHIANO na nani
NB: MARIDHIANO YALITAKIWA KABLA YA UCHAGUZI.
MARIDHIANO NA NANI?
1. Ushindi wa kura 31M sawa na 98% unaomba MARIDHIANO na nani?
2. Unakubarika nchi mzima unaomba MARIDHIANO na nani?
3. Walioandamana October 29 wengi walikuwa ni vijana wa nchi jilani unaomba MARIDHIANO na nani
NB: MARIDHIANO YALITAKIWA KABLA YA UCHAGUZI.
Emu fikiria huyu ni PhD holder anaongea vitu vya hovyo kabisa je darasa la saba ataongea nini?, nahisi huyu msomi hajui hata maana ya Demokrsia ni mtu tu anatembea na makaratasi ya vyeti ila kichwani zero ndiyo maana alisababisha TBC ikawa chombo cha propaganda za CCM na Dora.
Mhe. Heche umeshahau waagizaji mafuta wanavyohonga wabunge?
Umesahau enzi zetu tulipelekwa kamati ya niidhamu kwa kuwatuhumu baadhi ya wajumbe kamati ya nishati wakati ule kuhongwa?
Huenda tayari waagizaji wako Dodoma wanasukuma agenda ya kupewa ruzuku. Nchi imeoza hii.