Mmiliki wa kampuni anaweza kuwa mfanyakazi. Lakini pia anaweza kuwa sio mfanyakazi ktk kampuni hyo.
1. Endapo wewe mmiliki wa kampuni na una kitengo chochote humo, Unapaswa kulipwa MSHAHARA na GAWIO LA FAIDA.
2. Endapo wewe ni mmiliki wa kampuni lkn huna kitengo zaidi
Kipe uzito kipaji chako. Tumia ujuzi wako kwa nguvu zote.
Boresha uwezo na stadi zako. Fanya kazi kwa bidii na usidharau nafasi za wengine.
Jifunze kufikia uwezo wako kamili kama binadamu.
Siku Moja katika mwezi wa 9 mwaka jana, nilipigiwa simu na kampuni fulani maeneo ya Mikocheni.
Waliniomba nikafanye training ya team yao kwa Sababu MAUZO YAMEDUMAA na yanaelekea kufa kabisa.
Niligundua UGONJWA ambao unatesa kampuni nyingi hapa TZ.
Shuka na 🧵 tujifunze
Google Sheets Bootcamp Boost Productivity and Efficiency
Conquer Spreadsheets: Automate Tasks and Analyze Data with Google Sheets
Coupon code is B5DD14C827F2661B3606
https://t.co/NLtz83OjuG