Kombe la Dunia la Vilabu 2029 β Mchujo wa Afrika! π
Pyramids FC ndiyo timu ya kwanza kutoka Afrika kufuzu! Nafasi 3 zilizobaki zitakwenda kwa mabingwa wa CAF Champions League wa misimu ijayo: (2025/26, 2026/27, 2027/28)
12.Sagrada β alama 8
13.Maniema Union β alama 6
14.Djoliba β alama 5
15.Stade dβAbidjan β alama 4
Timu zinazoshiriki Kombe la Shirikisho la CAF hazitapata alama kwa ajili ya kufuzu Kombe la Dunia la Vilabu.
Yanga akifanya vizuri msimu ujao basi atakua katika nafasi nzuri ya
Ikiwa timu moja itashinda zaidi ya mara moja, mfumo wa alama za CAF (CAF Rankings) utatumika kujaza nafasi zilizobaki.
Alama za CAF kabla ya msimu wa 2025/26:
1.Pyramids β alama 36
2.Sundowns β alama 28
3.Orlando Pirates β alama 28
https://t.co/ccLz8k33a8 Ahly β alama 27
@Dr_DGwajima Watu wanashindwa kuelewa huwezi kumfunga mtu bira kua na ushahidi uliojitosheleza, huwezi kumfunga mtu kwa ushahid wa video za mtandaoni tu, hatujui walianzia wapi mpaka kuanza kurekodiana na kum Harass huyo binti, @Dr_DGwajima Naunga mkono mwijaku kuhojiwa
Mkapa hapana kipengele, kipengele labda walete CAF
SIMBA itacheza mchezo wake wa marudiano dhidi ya Al Masry ya Misri mnamo April 9, majira ya saa 10 Jioni ndani ya dimba la Benjamini Mkapa, Dar Es Salaam, itakuwa siku ya Jumatano.
@Rydx_017@athanas_pius@babalao__@DullahTheking2@MissChelsea1221@Balyx_ Debry ya kariakoo imesogezwa mbele, itapangiwa tarehe haraka iwezekanavyo ili bodi ifanye uchunguzi na kutoa maamuzi ya hak
Huu ubaya ubwela mmmmh! We huogopi mechi ipo palepale Yanga Sports club imeendelea kuhamasisha mashabiki kufika katika uwanja wa benjamini mkapa.
Debry ya kariakoo imesogezwa mbele, itapangiwa tarehe haraka iwezekanavyo ili bodi ifanye uchunguzi na kutoa maamuzi ya hak
Huu ubaya ubwela mmmmh! We huogopi mechi ipo palepale Yanga Sports club imeendelea kuhamasisha mashabiki kufika katika uwanja wa benjamini mkapa.
@Rydx_017@athanas_pius@babalao__@DullahTheking2@MissChelsea1221@Balyx_ Debry ya kariakoo imesogezwa mbele, itapangiwa tarehe haraka iwezekanavyo ili bodi ifanye uchunguzi na kutoa maamuzi ya hak
Huu ubaya ubwela mmmmh! We huogopi mechi ipo palepale Yanga Sports club imeendelea kuhamasisha mashabiki kufika katika uwanja wa benjamini mkapa.
Basi wakati unajibu Hilo Swali, jua mwaka huo ndio ulikuwa mwaka wa Mwisho kwa Watato wa Ibenge Al Hilal kufuzu hatua ya Robo Fainali CAF Champions League.
Sare ya Jana ikawafanya wafuzu kwa mara nyingine tena Hatua ya mtoano CAF Champions League wakijikusanyia Alama 10 katika
@BellaRay__ Basi wakati unajibu Hilo Swali, jua mwaka huo ndio ulikuwa mwaka wa Mwisho kwa Watato wa Ibenge Al Hilal kufuzu hatua ya Robo Fainali CAF Champions League.
Sare ya Jana ikawafanya wafuzu kwa mara nyingine tena Hatua ya mtoano CAF Champions League wakijikusanyia Alama 10 katika
@Labella_Mafia95 Kwenye Kundi A la CAF Champions League ambalo lina timu za Al Hilal, Yanga SC, MC Alger na TP Mazembe imebaki nafasi ya timu moja baada ya Al Hilal Omdurman kufuzu robo fainali baada ya sare yake ya jana dhidi ya MC Alger na kufikisha alama 10.
@Darban_Boy Huyu mtoto ni mmoja kati ya watoto ambao wapo katika program ya Azam AZAM HOLDAY CLINC iliyo anza tarege 2 pale azam complex na kumalizika siku ya leo.
Huyu dogo anakipaji sana, 2030 huenda tukazungumza habari zingine kabisa.
Wenye D 2 wameelewa
@Labella_Mafia95#repost@yetusote_tv
__
Huyu mtoto ni mmoja kati ya watoto ambao wapo katika program ya Azam AZAM HOLDAY CLINC iliyo anza tarege 2 pale azam complex na kumalizika siku ya leo.
Huyu dogo anakipaji sana, 2030 huenda tukazungumza habari zingine kabisa.
Follow @Yetusote_tv