@EsirEid Suala la kua muislam au sio muislam haihusian na kua shia au sunni. Mtu yeyote anaweza kutoka katika uislam kwa kufanya au kusema mambo yanayoweza kutumtoa mtu katika uislam yapo mengi ila kubwa shirk, hili linamtoa mtu katika uislam haijalishi ww ni shia au sunni