Mheshimiwa Deo John Ndejembi apigiwa kura kwa asilimia 100 (kura 324) na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambalo limeidhinisha uteuzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan.
@TunduALissu aliposema JWTZ ni Makada wa CCM alikua na maana hii.
Katiba ya CCM inamtambua Mkuu wa Mkoa kama Mwanachama wake na Mjumbe wa vikao hivi;
1.Kamati ya siasa ya Mkoa
2.Halmashauri ya CCM ya Mkoa
3.Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Mkoa
Kwa hivyo Kanda wa CCM kawa Kanali
WARIOBA : NCHIMBI ALIKOSEA KUPOST BARUA YA KUJIUZULU
"Nchimbi kwenda maadili ni kawaida si mara yake ya kwanza, nilipoona barua ya kujiuzulu nikamuuliza akajibu ni yake, nikashangaa kwanini kabla hajajibiwa yeye kashapost ile haikua sawa ni kumkosea Rais na CCM" - Warioba
๐ค : The Chanzo : Jukwaa la Demokrasia
Yaani ukisikia hata viongozi wanaona ni idadi ndogo kwamba watu 518 ni idadi ndogo, ndiyo maana hata kuomboleza kitaifa hakupewi kipaumbele ~ Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Warioba.
VIDEO:
Rais wa Tanganyika Law Society, (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amesema Tanzania ina watu wenye uwezo, uadilifu na wanaokubalika na jamii wanaoweza kusaidia kuunganisha taifa na kutatua changamoto zinazolikabili, endapo watapewa nafasi bila kujali nani aliwateua.
Akichangia mjadala katika Jukwaa la Demokrasia Tanzania, Mwabukusi ametaja viongozi na wasomi mbalimbali akiwemo Jaji Joseph Warioba,Prof. Issa Shivji, akisisitiza kuwa Tanzania ina hazina ya watu wenye uzoefu ndani ya nchi.
โTuna watu humu ndani, ambao bado wana uadilifu na wanakubalika na wananchi; hawa ndio watumike kulileta taifa pamoja.โ
Mwabukusi amesema mchakato huo unaweza kuanza kwa uwakilishi mpana, huku akipendekeza pia kutumia wataalamu na waangalizi kutoka nje pale inapohitajika, ili kusaidia kuondoa vikwazo vilivyowahi kukwamisha michakato ya mazungumzo ya kitaifa, ikiwemo mchakato wa Katiba.
UJUMBE WA ASKOFU KWA DR. NCHIMBI JUU YA USALAMA WAKE!
Mpendwa Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi!
Pokea salaam kutoka kwetu sisi tulio Askofu.
Tunatambua kuwa wakati huu unapitia katika kipindi kigumu sana katika historia ya maisha yako ya kisiasa na utumishi wa umma.
Tumefuatilia sana mjadala ulio nyuma ya kile kilichoitwa 'kujiuzulu' kwako tumebaini ya kuwa watu wengi sana hawajadili juu ya haki zako za msingi. Watu wengi hawajui ya kuwa unaweza kuwa unapita kipindi kigumu cha kufinywa haki zako ambazo ni haki ya kujumuika (freedom of association) uhuru wa kutembea (freedom of movement), haki ya kutoa maoni (freedom of expression), haki ya kusikilizwa (natural justice) na haki ya kuishi ni haki zako za msingi ambazo sisi tutazipigania.
Ni wazi kuwa hiki ndicho kipindi ambacho watu ambao ni marafiki wako wa dhati watasimama pamoja na wewe bila kuogopa. Lakini ambao ni marafiki wa fursa wameanza kukukana na hata kukukimbia. Watajitokeza pia ambao pamoja na kuwa uliwahi kuwasaidia, wataongeza moto dhidi yako. Ikitokea hivyo, basi soma Zaburi 35.
Hakuna jambo lolote utakalotendwa kwa siri au kutendewa kwa siri litaweza kusitirika milele. Tunatoa wito kwa wenye mamlaka kulinda haki zako ikiwemo ulinzi. Ila sisi hatuwezi kupuuzia minong'ono inayozunguka ya kuwa kuna dalili kuwa usalama wako uko hatihati. Hii inatokana na ukweli kuwa kuna kauli nyingi sana za chuki dhidi yako kutoka kwa baadhi ya makada walio ndani ya UVCCM au CCM kwa ujumla.
Hatutarajii kuona yaliyomfika Balozi Humphrey Polepole yakufike na wewe. Hii ni kutokana na ukweli kuwa siku hizi mtu anayetofautiana na watawala, dawa yake inakuwa kumpoteza au hata kumuua.
Kama kweli watawala hawana mpango wowote ulio mbaya kwako, basi pia tunatarajia kukuona ukijitokeza hadharani na kuongea na vyombo vya habari na kutoa ufafanuzi hasa kuhusiana kujiuzulu kwako.
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Itunge, Dar es Salaam; 28 Agosti 2026; Saa 6:45 usiku.
NB: Waione - Boniface Anyisile Mwabukusi Addo November Mwasongwe Askofu Lucas Judah Askofu Severine Niwemugizi Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza Askofu mteule Charles Lundu Prof. Joseph Mbele Mhe. Ezekiel Maige Mhe. Ado Shaibu
@MariaSTsehai Halafu inakuwaje asome Advance kwenye College?? Au mimi ndio sielewi??... College siku hizi au zamani zilikuwa zinatoa elimu ya advance ACSEE??
Msikilize kwa makini mzee ISSA SHIVJ.
Hawa ndio wazee wa hili taifa-sio yule alikuwa anakatia nyasi ng'ombe za nyerere (HOUSE BOY BUTIKU).
MUNGU akutunze mzee uishi miaka mingi mpaka tutakapokomboa hii nchi ufurahie ulichokipigania.
Nimechukua muda kutafakari uliyoyasema @nchimbie sasa acha nikujibu:
Leo umeonyesha uungwana kwa maneno maana umesema kuwa uanaharakati si uhasama - na ulinitaja kabisa pamoja na kwamba ninajua kuwa jina langu akilisikia kimama chenu anakasirika - so clearly umeonyesha ujasiri kuliko wana CCM wenzako huko ndani! Sad that we have reached so low!
Pia kuongelea Haki na kukubali hakuna Amani bila Haki na kutaka wanaharakati walindwe na kugusia kesi za kubambika na kutaka watu waachiwe ni jambo jema sana
Mwisho umetumia muda kuongelea Katiba Mpya na kutaka tupambanie
Kwa maneno haya mazuri umefanya jambo jema na wapo wengi ambao wamepata matumaini maana wamechoka na chokochoko zenu CCM na kimama chenu kutwa kuwinda na kuumiza watanganyika!
Sasa baada ya haya nataka ninyooke na mambo kadhaa maana mi si mnafiki
Kwa kifupi maneno mazuri hayatoshi kwa hapa tulipofika maana hata Samia alikuwa ana kauli positive na 4R zake ila I was not impressed!
Kwa sababu mi nathamini matendo!
๐๐ฝ Kuna sheria zaidi ya 40 ambazo ni kandamizi na ktk sekta tofauti zinatumika kutuadhibu na kutuumiza katika harakati zenu za kutunyamisha hii ni pamoja na sheria za Cybercrime, Takwimu, Ugaidi, uhujumu uchumi, Statistics law, NGO law nk
Bila kufuta hizi sheria mtaendelea kutupa haki zetu kama hisani - FUTENI
๐๐ฝ MO29 hatuwezi kuweka kando na kuongelea KatibaMpya na Maridhiano bila kwanza kukabili hili DOA kubwa! Watu waliuwawa, damu ilimwagwa kwa hiyo LAZIMA waliohusika wawajibishwe na tuambiwe ukweli - nani alihusika, miili iko wapi nk. Wewe ni mnufaika wa mauaji haya - sasa kama utaonyesha ujasiri kukubali na kuhakikisha Haki na Ukweli unapatikana hakuna mtu atakuwa na mashaka na uwezo wako kama kiongozi!
๐๐ฝ Katiba Mpya tunautaka ila kwa mazingira ya sasa na bunge hii hapana hatuwezi kupata Katiba Bora - so turudi kule kwenye serikali ya mpito! Rais haramu anataka hataki - we donโt care! Katiba ni Yetu wananchi! Hatusubiri mtupatie! Ila tutafurahi mkikubali kushiriki tukiwa wote sawa na si ninyi kama watawala
๐๐ฝ Una uwezo hata leo kuhakikisha Lissu anaachiwa na vijana na lecturers waliopewa ugaidi wanafutiwa kesi hata kesho! Wote waliotekwa kabla na baada ta MO29 akina Mdude, Polepole, Soka nk tuambiwe hatma zao na waliohusika kisha wawajibishwe wote! Mi NINAJUA ukiamua unaweza - so do it!
๐๐ฝ kuhusu wanaharakati - hakuna hata mmoja wetu aliyeamka na kuamua kuwa mwanaharakati! Sote tulikuwa na kazi zetu ila tuliamua kutokaa kimya kwa sababu ya dhulma! So hili si suala la sisi kujuana au kutojuana - tuamue kwa pamoja kuwa tusikubali tena mtu awindwe kwa sababu ya utofauti wa kimawazo - hata akikutukana usitumie wadhifa wako kumkomoa! Kila mtu ahakikishiwe usalama na walio nje wakiamua kurudi wasibugudhiwe! Hii isiwe hisani au ishu ya kujuana!
Mwisho kabisa mi nina trust issues na CCM maana nawajua kama vile nimewazaa!
So kujenga imani tunahitaji VITENDO zaidi kuliko maneno!
Mungu akupe uwezo wa kunielewa na kufanya yote
All the best!
Outlier is hiring Swahili speakers in Tanzania. Kenyan people, please stay away.
You will earn $12.50 per hour, which means you can make $2,000+ per month.
You can apply here: https://t.co/lH9nVOcb72
Select country: Tanzania
Register an account and verify it.