Kuna rafiki zako watabaki tu kukuzidi mafanikio hata ufanye nini usiwachukie chukua nafasi ya kumshukulu MUNGU angalau ufurahie hata baraka walizo barikia π
Shujaa hukiwaza kifo kila saaa.ndio humpa ushindi nakuweza kufika mwisho wa vita akiwa hai.kwa SaBaBu anachukua tahadhali zaidi anajiandaa zaidi ana focus zaidi.anakuwa makini zaidi kwake silaha siyo uoga wala SiYo ujasili bali ni umakini π
Kuna muda ndani ya MoYo WaKo unasikia kuchoka sana kulingana na mahali unapo pitia na hauna MTU wa kumwambia na unaona kama mUnGu amekunyamazia lakini pokea neno hili njia yako haitakuwa nyepesi lakini mungu ameahidi hawezi kukuacha mazingira unayo pitia yasikuogopeshe π
Mwambie binti YAkO....mdogo wako.....dada YAkO....kuwa. PEsA kutoka shambani/ujasiliamali/. itampa heshima . SaNa lakini PEsA. kutoka. Kitandani. Itamletea magonjwa na aibu"π