Sema Ile Inaniuma sana Ya Juma Nature jamaa alilamika sana aisee.
Imagine dakika karibu 7 zote malalamiko kuhusu mwanamke.
Ila Alikuja kuua sana kwamba Demu alipigwa Denda mpaka gari ukagoma Kwenda.
Aisee hii Denda mpaka Leo huwa nawaza ilikuwa namna Gani pale.
Madeni ni hatari sana kwa kuua urafiki,tuache michakato ya kukopeshana marafiki kwa maslahi mapana ya urafiki, nimepoteza marafiki wazuri niliojuana nao kabla ya mitandao kwa sababu ya madeni, binafsi nimejifunza
Unaweza ukawa unapitia mambo magumu sana kiasi huoni ukifanikiwa kutoka kwenye hizo shida hauna ndugu rafiki mpenzi au watu waliokuzunguka wakukusikiliza na kukusaidia unalia sana unatamani kifo upumzike,usikate tamaa ya maisha sali sana kwa Mungu upo muda wako utasimama tena