^health promoter
^i just want to reduce number of unnecessary diseases and improve our health standards.. i will educate you anywhere
#livehealthinceaselifespan
#Repost @familia_ya_washindi
• • • • • •
Dar es Salaam, Tanzania
Dada yetu @itstwilluh ambaye ni mtaalamu wa masuala ya afya @yourhealthis akiwasilisha mada juu ya namna gani familia inaweza kuboresha masuala ya afya katika jamii.
#tunashindanakushinda#WeloveWeuniteWewin
NJOO TUSAIDIANE...
Ni familia ya washindi kuwatembelea watoto yatima KIJIJI CHA FURAHA ORPHANAGE CENTER-MBWENI DSM.Moja ya maadhimio yetu kama familia katika kugusa maisha ya watu ni kuonyesha Upendo kwa vitendo.Watoto hawa wana uhitaji wa vitu mbalimbali.. #njootusaidiane
21 octoba.... Siku ya upungufu wa iodine mwilini duniani.
_ kwanini tunakumbushana kutumia madini ya iodine??? Kiasi Cha dunia nzima kutenga siku maalumu kwa ajili ya kukumbushana matumizi ya vyakula vyenye… https://t.co/hR4TnkUPVf
21 octoba... Siku ya upungufu wa iodine mwilini duniani.
_
.. sababu kubwa ya kuadhimisha siku hii ni kwaajili tuu ya kukumbushana matumizi ya vyakula vyenye iodine, ili kuepuka madhara yanayotokana na upungufu wa… https://t.co/7VuTduLJ7r
21 octoba ya kila mwaka ni siku ya kuadhimisha upungufu wa madini ya iodine mwilini... Tunapo adhimisha siku hii, tunapata nafasi ya kujifunza Mambo mengi ikiwemo, sababu za kuadhimisha siku hii, umuhimu wa madini… https://t.co/5TOUgYSO6f
Osha mikono..Linda afya yako.. yapo magonjwa mengi unayoweza kuyapata kutokana na kutonawa mikono, ikiwemo home za matumbo, kuharisha, aina mbalimbali za minyoo nk ....
#livehealthincreaselifespan#livehealthy https://t.co/5XHb2GS9YB
15/10 ni siku ya uoshaji mikono duniani .. Je? Unafahamu Ni wakati gani na ninamna gani unatakiwa kuosha mikono??....
Siku ya Leo sisi wanafamilia wa @yohiyowe@yohiyowe tunajifunza Mengi kuhusu uoshaji wa… https://t.co/3ybmQnvdsX
Je? Unajua Kama mama mwenye virusi vya UKIMWI anaweza kujifungua mtoto salama asiye kua na virusi vya UKIMWI?.... jibu ni kwamba inawezekana... Endelea kua na mimi ili ufahamu zaidi....
#fematvshowpresenter… https://t.co/XQPf7vZdqN
Part 3
DALILI ZA UGONJWA WA KISUKARI
~ Kunywa maji mengi kuliko kawaida na kusikia kiu kila wakati.
_
~ Kwenda haja ndogo mara kwa mara. Watoto kukojoa kitandani.
_
~ Kuwa dhaifu, kukosa… https://t.co/uP15K6lhOG
Sukari mwilini hutokana na vyakula pamoja na vinywaji tunavyotumia kila siku na hutumika kuupa mwili nguvu. Glukosi ni aina ya sukari ambayo huzipa chembe za mwili nishati. Hata hivyo ili glukosi iingie ndani ya… https://t.co/tMd7Z770jJ
.... mtag yeyote unaejua anashida ya Kisukari, presha ya kupanda au kushuka na mtu yeyote anayeishi na Virusi vya ukimwi kuna Mengi saana nimewaandalia kwenye hii kampeni.... Get… https://t.co/NkabyiVed4
Inawezekana umekua ukisumbuliwa na Magonjwa ya UTI, PID na pia inawezekana unasumbuliwa na tatizo la kupata mtoto... Dawa hizi zilizotengenezwa na mimea ya asili naamini ndio suluhisho la Matatizo hayo... kwa… https://t.co/TZiluR95UJ
Mungu ametupa kibali cha kukutana wa watoto wa familia ya Hope..tumewafundisha Mengi ikiwemo maswala ya Afya, malezi na ujasiriamali.... Pia Tumejifunza vitu vingi saaaana kutoka kwao... Asante Mungu Kwa… https://t.co/BAkqkxwlW8