@PresenterNoah Hiyo fomu kuna mahali pa kujaza na kutia saini wew na sehemu ya mwanasheria ukifika ofisi za immigration utasaidiwa kujaza
Baada ya hap afisa atakuhoji na kukupa control ya kulipia 130, ukishalipa unakwenda kwenye picha na fingerprint
@PresenterNoah Kama umeshalipia kabisa ile elfu 20,
Unaprint hizo docoment zako baada ya hapo unaambatanisha docoment ulizoweka kwenye mfumo yaan cheti/affidavit, yako na ya mzazi, barau ya local government/utambulisho vyote unaweka kwenye bahasha unafika ofisi za immigration kw hatua inayofat