Ee Mungu nakuomba, jina langu liwe
kivutio cha baraka, fursa, mafanikio na ushuhuda.Sawa sawa na andiko lako katika Kumbukumbu la Torati 28:2
"Baraka hizi zote zitakujilia
na kukupata, utakaposikia sauti ya Bwana, Mungu wako."๐
Bwana, yale yote uliyonikusudia tangu kuzaliwa kwangu yatimie katika maisha yangu.
Yeremia 29:11
"Maana nayajua mawazo
ninayowawazia ninyi, asema Bwana, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho."โ๏ธ๐