@fbuyobe Hii ni hazina ambazo serikali ilitakiwa iwatumie vizuri kwa faida ya nchi yetu na sio kushindana nazo na kuishia kushindwa mimi naamini hakuna kitu @TunduALissu anafanya bila kujua sheria inataka nini
@0101DUBU Ila wanawake wa siku hizi ni takataka kabisa hawajui thamani wanayopewa kama mke hii yote ni kwa sababu tunaoa wanawake ambao bikra zao hata hawakumbuki walitolewa na nani ndio maana hawaoni ajabu kutoka nje ya ndoa zao