@Sativa255 Hao zao matusi, kashgar, kushawishi vijana wasiojielewa, huku wao wakiwa wamejificha wanaacha familia zikipata hasara ya kupoteza mali ma roho za vijana wao.
Jeshi nao likawapuuza kwa kuona walichokuwa wanapigania awakioni zaidi ya kuona ni machafuko tu ya kuchoma moto nk.
@Joshua83933663@Sativa255@jwtztaarifa@tanpol@ikulumawasliano Kwa kweli tunawapongeza sana kwa kuwadhibiti hawa wahuni ,panya Road,
Nashaur vyombo vyetu viongeze ulinzi mipakani kote ili hawa wahuni wasije wakaingia tena haswa ifikapo siku ya chaguzi