@DangaAyubu79425@MsigwaMpenda Nani mwenye uwezo wa kulimit watu wasifanye makosa kaka? Lakini sindo maana kuna vyombo vya sheria na aliwajibishwa kisheria na hukumu yake ikawa faini? Hivi utamjibu nini Mungu kwa kumuua mtu aliyechoma picha yako? Just picha yako!!
@farudume2020@MwanzoTvPlus@lifeofmshaba Umetumia nini kuandika hivi? Hivi unaweza kutoka hadharani ukasema kuwa Tanzania ni bora kwenye sekta ya viwanda kuliko Kenya! Au unataka kuchekwa?
@Thereal_Kabote Hivi unaweza kumtembeza mkeo uchi na mmezaa watoto? Vipi siku watoto wake wakikua wakasimuliwa hii hadithi, unadhani watakutazamaje wewe kama baba yao. Hakuna nyakati unatakiwa kuwa makini kwenye kufanya maamuzi kama unapokuwa na hasira sana au na furaha sana.
@bbcswahili Ila hizi media bwana, hivi hapa mnapotuonyesha ndio panatoa taswira halisi ya kichapo cha Iran kwa Israe? Mnajaribu sana kufumba fumba ila wahusika wameanza kutoa milio.