The biggest pain of losing my Ex gf was not only that we don't match again, but seeing her going to be used and live the way I didn't want. LOVE IS CARING
The biggest pain of losing my Ex gf was not only that we don't match again, but seeing her going to be used and live the way I didn't want. LOVE IS CARING
Pima akili ya mwanamke wako kwa kutompa pesa anayoomba kwa wakati.
Like, hatakama ulimuahidi. Fanya kuchelewesha kumpa tena pitisha hata siku mbili mpaka tatu.
Ukiona anafoka na kukukalia kimya jusy know.
SHE IS NOT THE ONE. Ingia kariakoo tena.
Kikubwa usisahau kumpa reason.