#SupaBreakfast: Mhandisi wa majengo kadhaa ya KariaKoo Yuda Kemincha anasema mpaka kufikia hatua ya jengo kubwa kama yenye ghorofa 3 kuendelea kuanguka mara nyingi ni uzembe tu na wamiliki kukwepa gharama za ujenzi
Kwa urefu zaidi unaweza kuitazama kupitia YouTube channel yetu ya EastAfricaRadio
#EastAfricaRadio #SupaBreakfast #HainaKuchoka
#SupaBreakfast: Mhandisi wa majengo kadhaa ya KariaKoo Yuda Kemincha anasema mpaka kufikia hatua ya jengo kuanguka huwa kuna viashiria ambavyo wengi wetu tunapuuzia mpaka pale madhara yanapotokea ndiyo tuaanza kutafuta chanzo
Kwa urefu zaidi unaweza kuitazama kupitia YouTube channel yetu ya EastAfricaRadio
#EastAfricaRadio #SupaBreakfast #HainaKuchoka
#SupaBreakfast: Mhandisi wa majengo kadhaa ya KariaKoo Yuda Kemincha anasema kwenye taratibu nzima za ujenzi wa ghorofa kwenye kila hatua lazima uombe kibali cha kufanya unachotaka kufanya iwe ni ukarabati, ujenzi, maboresho au hata kubomoa
Kwa urefu zaidi unaweza kuitazama kupitia YouTube channel yetu ya EastAfricaRadio
#EastAfricaRadio #SupaBreakfast #HainaKuchoka
#SupaBreakfast: Mhandisi wa majengo kadhaa ya KariaKoo Yuda Kemincha anasema ukongwe wa jengo siyo sababu kubwa sana kwenye jengo kudondoka ila kitu kinachosababisha haswa ni uimara wa jengo na namna lilivyojengwa
Kwa urefu zaidi unaweza kuitazama kupitia YouTube channel yetu ya EastAfricaRadio
#EastAfricaRadio #SupaBreakfast #HainaKuchoka
“Usichukue muda mwingi kulinda Cheo, Chukua muda mwingi kutoa matokeo kwenye kazi yako. Cheo hakilindwi. Kama kilivyokuja bila wewe kukipambania kitaondoka siku moja utake au usitake na atakuja mtu mwingine kwa sababu na wewe ulikuta mtu mwingine” Dotto Biteko
Not many people these days know that the British Empire was the driving force behind ending the vast majority of global slavery.
Slavery or de facto slavery was standard practice throughout the world from the dawn of civilization until a few hundred years ago. It is even discussed at length in the Bible, for example.