Mungu ndiye ngome yetu, msaada wa hakika kila siku ya maisha yetu. Anatulinda na kutuongoza katika mema daima. Suluhisho kwa kila tatizo letu, anayajua na kuyaweza yote "...hakuna neno lisilowezekana kwa Mungu" Luka 1:37.
https://t.co/kzdlN6WgHW
Ingawa mijini kuna watu matajiri sana wa mali, hata hivyo ndiyo sehemu ambayo imejaza watu wenye huzuni na mateso yasiyokadirika.