Nakumbuka Kuna dem alikuja geto akawa hataki kuondoka, ilibidi nizuge kama nimefukuzwa kazi ili asepe,Dem hakutoka aisee, Nilikua natoka naenda kula mgahawani nikidhani dem atasepa, Nilikua narudi namkuta. Alikaa njaa siku mbili ikabidi nimhurumie tu.
Mdogo wangu wa kike, kuna siku utasikia , Kaka Mwaka huu uoe, me nikijibu sawa, zikipita siku kadhaa utasikia tena kanakuja Kaka nimefikiria usioe mapema, ukioa utaacha kunipa hela utaanza kumjali wifi tu, ๐
Ugomvi wa Mawifi hata INTERNATIONAL COURT OF JUSTICE haiwezi solve.