Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi
@HKigwangalla Hii inaitwa formula ya maisha tunapata tunachokihitaji na sio tunachokipenda unataka mke unapata yawezekana akawa sio yule uliekuwa unampenda hata kazi na vitu vingine hivyohivyo