#FAHAMU: Siyo kila mvumbuzi alifurahia kazi ya mikono yake, baadhi ya wavumbuzi wakubwa duniani waliishia kuishi na huzuni kwa sababu ya jinsi uvumbuzi wao ulivyotumika kinyume na matarajio yao.
Hii hapa ni orodha ya waliowahi kujutia kazi zao:
Naelewa, mmiliki wa @azamtvtz ni muislam. Lakini watazamaji wake ni waumini wa dini na madhehebu tofauti. Waislam sawa na Wakristo wamefunga, Ramadhan na Kwaresma. Salamu zinazotolewa AzamTV ni kwa Waislam pekee. Anyways. Kuna uhuru wa mwenye chombo, mitambo na mwenye mali.
@Rydx_017 Wanaume wengi hupitia changamoto nyingi wanapo kuwa wazee sema ni vile hawana pa kusemea na wakipata pa kusemea hakuna wakuwasikiliza Mungu atusaidie sana ๐
Fahamu ukweli wa kesi ya Hamisi Luwongo (Meshack) aliyehukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kusabisha mauaji ya aliyekuwa mke wake Naomi Marijani.
Maelezo haya ni kwa mujibu wa maelezo yake akiwa polisi, Mahakamani, Mpwa wake na mjumbe wa nyumba kumi.
Shuka na uzi huu
๐ช๐ฎ๐ธ๐๐ ๐๐ฒ๐ผ ๐ก๐ฑ๐ถ๐ผ ๐ก๐ฎ๐ท๐๐ฎ ๐๐๐๐ฎ...........
Kila Mji || Mtaa Maarufu ๐ง๐ฎ๐ป๐ una Maana yake,
Ona Maana ya Sehemu Hizi Maarufu Tanzania,
Shuka Na Uzi ๐ ๐