Sababu tunayo, nia tunayo na uwezo tunayo - sasa kwa nini isiwe #Oktoba29Tunatoka#MO29
Leo hawa madhulmati yanaendesha maBugatti na G wagon alafu kuna watu wanapambania mkate wa boflo wanabana pua eti “Oktoba tunatiki”
Mfyuuu! We hata maji hupati! Unatulalamikia tu maana hakuna uwajibikaji!
Tuwe serious!