Mtalii kenda umrah kwa fedha za dhulma.Kiongozi anafanya biashara ya pombe,kamari,wizi kwenye bima ya utalii kajiwekea cha juu na marafiki zake,ardhi za watu anapora hadi sehemu za makaburi leo anakwenda ibada umrah tumboni kajaza dhulma..!
UMMA UJIHADHARI NA UTAPELI WA SUKUK!!
MPAKA MUDA HUU BENKI KUU HAIJATOA IDHNI YA "UPATU" HUU KUFANYIKA NI JANJAJANJA YA MTALII. MAMLAKA YA MITAJI NA MASOKO NAYO VILE VILE HAINA HABARI NA HUU UPATU WA MTALII.MNAOTOA PESA KWENYE SUKUK MJUWE MNATAPELIWA,WENGI NI WAFANYAKAZI WA SERIKALI.HII NI MBINU NYINGINE YA MTALII KUIBIA WAZANZIBARI! CHONDECHONDE MABENKI ANAOWAITA MUWEKEZE KWENYE HUU UPATU JIEPUSHENI.ANASEMA SUKUK ITAIVA MWAKA 2032 YEYE MUDA HUO AKIWA ANAPOJUA YEYE JUMBA BOVU ATAWAACHIA!
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un!tunajua mtalii alikwambia maneno yalokupa presha kukutoa uhai ili aendelee kuuza mali za wazanzibari kwa marafiki zake alowaleta toka bara.Dhulma hizi siku moja wala haiko mbali atazilipa inshallah!
Kama baba kama mtoto!kule bara mwaka 1993 gavana Rutihinda na waziri wa fedha Kibona walimgomea babake mwanamdogo kuchapisha hela kuingiza kwenye uchumi sababu ingeharibu nchi.Akawatuma India waliporudi wote wakafa vifo tatanishi na pesa zikachapishwa..Upiga dili haramu karithi!
Kichekesho fungakazi,mwinyi anaiuza zeco.yuko kuandaa mazingira kujiuzia kama alivyofanya kwenye bandari ambayo kajiuzia yeye, turky na wafaransa kupitia agl.Sisi tunamkumbusha tu jinai haina expiry date wazanzibari tutamrudia hadi senti ya mwisho
Kwa mara ya kwanza Zanzibar ina kiongozi asojali miiko ya muungano.Tunashuhudia miiko ya nafasi za uongozi ambazo zilipaswa kuwa za Wazanzibari ndani ya Zanzibar zikienda kwa wageni.Mtu mwenye roho ya aina hii hawezi kuwa Mzanzibari.Uko madarakani lakini fahamu wewe ni setla kutoka Mkuranga na huna kibali cha Wazanzibari...
Atatoa salamu za ramadhani na kuongopa kama kawaida yake kusema atahakikisha wafanyabiashara hawapandishi bei za bidhaa mwezi mtukufu. Mwongo huyu sababu unajua wazi kuwa wewe ndiye umepandisha gharama za bidhaa na maisha Zanzibar kwa kupandisha gharama za bandari ambayo wewe na mwenzako Toufiq mmejimilikisha.Bandari Kavu ya Mtoni yako, ya Fumba ya mwanao. Maisha Zanzibar gharama inatokana na wewe kujimilikisha bandari na kupandisha gharama za kuingiza bidhaa wala si wafanyabiashara wa mtaani.Hii dhulma inshallah iko siku utailipa!Allah hafanyiwi mzaha!
Unaongopa masjid kuwa utahakikisha wafanyabiashara hawapandishi bei za bidhaa mwezi mtukufu huku unajua wazi kuwa wewe ndiye umepandisha gharama za bidhaa na maisha Zanzibar kwa kupandisha gharama za bandari ambayo wewe na mwenzako Toufiq mmejimilikisha.Bandari Kavu ya Mtoni yako, ya Fumba ya mwanao. Maisha Zanzibar gharama inatokana na wewe kujimilikisha bandari na kupandisha gharama za kuingiza bidhaa wala si wafanyabiashara wa mtaani.Hii dhulma inshallah iko siku utailipa endelea kuhadaa watu ila Allah hahadaiwi!!