Ni kweli huenda tulipitia magumu Hadi kufikia hapo tulipo.. hii Haina maana kuwa sisi ndiyo tumepitia magumu kuliko binadamu wote chini ya jua, wakati mwingine tunaelezea Kwa hisia zote na kumbe magumu yetu na kumbe hayafikii hata nusu ya magumu waliyopitia, huishia kutuhurumia
Kwa heshima na unyenyekevu nachukua nafasi hii kumshukuru Mheshimiwa @SuluhuSamia, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuniteua kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya EWURA. Wenzangu katika Bodi na mimi tutajitahidi kukidhi matarajio ya Mamlaka ya Uteuzi na ya Watanzania. @venusnyota
Wazo la hovyo sana kuwa na shindano la Ngao ya Jamii. Sijui TFF wamefikiria nini ila wanatakiwa kurudi kwenye drawing board ni kama wanatoka nje ya njia vile. Nadhani msingi hapa ni pesa,pia tusiache wadhamini wanafanya maamuzi makubwa, hawajui mpira hawa jamani wanataka pesa tu!
Usishangae kuona watu wanaohitaji kuhurumiwa wakati wao hawana hata chembe ya huruma, watu wanaohitaji kujaliwa wakati wao hawajali, watu wanaotamani kutendewa mema wakati wao hawatendi hivyo. Ni kipindi chake hatuna budi kukiishi.
TAARIFA KUHUSU KUANDAMA KWA MWEZI
30-RAMADHAN 1443 AH
Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar inawataarifu Waislam wote kuwa mwezi HAUKUANDAMA
Na kesho Jumatatu ni Mwezi 30 Ramadhan sawa na Tarehe 2/5/2022 Na siku ya Jumanne,itakuwa ndio mwezi 1 Shawwal Sawa na Tarehe 3/05/2022
▪️ La Liga x2
▪️ Europa League x2
▪️ UEFA Super Cup x2
▪️ Copa del Rey
▪️ Spanish Super Cup
Diego Simeone turns 52 today. Plenty of trophies and wild celebrations in his 11 years with Atlético 💥