"Hapana shaka tutakujaribuni kwa chembe ya khofu na njaa, na upungufu wa mali na watu na matunda. Na wabashirie mazuri wenye kusubiri."
[Qur-an 2:155]
SUBRA INSHAALLAH ππΎ
@Malengo25 Wote ni wachezaji hatari na Bora sanaa sababu kwanza Wana aina tofauti ya uchezaji, ila kwa ile asec mimosas Bora kabisa hakuna mchezaji anafika quality ya aziz