@mwananchidr Mpango wa kujiuzulu makamo isije kuwa mkakati ambao baadae amber uanachama chadema kusha aje kuwa mkt kisha average mwelekeo wa chama kama alivyofanya lowasa
@Kondoo_wa_Sufi Combikit" ya matibabu ya dharura ya magonjwa ya ngono (STIs/STDs), hasa kuzuia au kutibu maambukizi kama Kisonono (Gonorrhea) na Kaswende (Syphilis/Chlamydia) baada ya kukutana kimwili bila kinga.
@SiasaTunduizi@YerickoNyerereT Aisee umeongea point hii, mimi ni mmoja wao niliamini @YerickoNyerereT ni mtu mwenye upevu na kitabu chake nilinunua sasa hivi hata sitaki kuamini anachokifanya
@kibaha_finest@Dr_DGwajima Oyaah kipindi cha sodoma na gomora si waliangamizwa watu wengi? Sasa tusisubiri Mungu atuamulie hili tupambaneni kuliondoa janga hili before