Kakoko tulisema ni mwizi na analindwa na Meko tukaonekana tunazusha! Haya sasa kakamatwa na $ 1.5m ndani kwenye gunia 🤣
Mwingine MWIZI nguli ni Mfugale(pichani) Hawa ndiyo majagili na Meko na wameiba sana kwenye hii nchi.Mfugale anapunguza mpaka upana wa barabara apige cha juu
Dr Bashiru ni Mwizi na hafai kuendelea kuwepo ofisini as we speak
👉17.03.2021 Meko kafa na yeye akiwa mtendaji mkuu wa ofisi ya Rais kashiriki kwenye wizi
👉21.03.2021 kashiriki kwenye ukwapuaji fedha BoT kwa kisingizio cha fedha za maendeleo - mpaka tulivyosema hapa ndipo NMB
@kigogo2014 Ndio maana kwenye mkutano wa kupokea ripoti ya CAG nilimuona Diwani akibinua mkono kama vile maza amuelewi na Bashiru kujishika tama nikajua hapa sio bure kuna watu hawajapenda mama kuwepo nafasi hiyo
@kigogo2014 Kama mama ameanza hivi naamini kuna wenye roho mbaya watampandikizia mama ili mbeleni asiende na kasi hii maana wataona wanaharibiwa ugali wao
It’s now four days since the military surrounded our home and placed my wife and I under house arrest. We have run out of food supplies and when my wife tried to pick food from the garden yesterday, she was blocked and assaulted by the soldiers staged in our compound. (ADMIN)
Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) Dar es Salaam, Temeke imeiamuru Quality Group Limited kuwalipa waandishi wake 23 wa habari wa zamani iliowaachisha kazi mwaka 2017, jumla ya sh. 232,324,172.96. https://t.co/AdqDiJt4bK
@MarekaMalili@HildaNewton21 Hii Tume wengi hawajui kucheza na akili za watanzania sababu hakuna hata wa upinzani amepita bila kupingwa 😂😂kituko ndio kinaanzia hapo