CCM tutafute mbinu nyingine kushindana na Chadema. Mbinu hizi zimefeli :
1. Kutumia machawa
2. Kutumia propaganda kuchafua viongozi chadema
3. Kutumia vyuo vikuu
4. Kutumia Uongo
5. Kuzurula nchi nzima kuamisha Raia .
Hizi zote WaTanzania tumechoka na Ccm. That's it!!
Ingekuwa mtoto wa kiongozi katangazwa kwenye gazeti la Taaluma la UK , ingetangazwa magazeti yote na taarifa ya habari wiki nzima
Sasa mimi ni mtanzania wa Kwanza kutangazwa gazeti la magazine for Supply Chain professionals in UK. MCIPS.
CCM tutafute mbinu nyingine kushindana na Chadema. Mbinu hizi zimefeli :
1. Kutumia machawa
2. Kutumia propaganda kuchafua viongozi chadema
3. Kutumia vyuo vikuu
4. Kutumia Uongo
5. Kuzurula nchi nzima kuamisha Raia .
Hizi zote WaTanzania tumechoka na Ccm. That's it!!
Baba wa Taifa Mwl JKnyerere alianza na kuwa mwanaharakati hadi tukapata uhuru.
Iweje leo wewe mkuu useme hivyo. Natia shaka kama unajua vzr history ya nchi hii soma vitabu upya . Baada na kabla ya uhuru. Soma kitabu kinaitwa independence
Mtu mzima mwenye ndevu zake na anayejipambanua kuwa msomi anaposema mwananchi fulani wa Tanzania hapaswi kuwa mwanaharakati anakuwa anamaanisha nini haswa???
Nchi siyo aliyoiacha Baba wa Taifa. Uongo ,wizi wa Mali za umma, ubinafsi wa ccm ndio umetufikisha hapa. Sound like tunaanza upya kutafuta uhuru kama mkoloni.
Unapotoa mawazo tofauti na ccm wewe ni gaidi, mzushi, mchochezi , unahatarisha amani nk ikiambatana na kutekwa.Terrible
Tusikubaliane na kutekwa, kuuawa au kunyamazishwa kwa watu kwa sababu ya namna wanavyotoa maoni yao. Demokrasia inahitaji kulinda hata sauti ambazo hatukubaliani nazo.
Sheikh Ponda Issa Ponda
#DemokrasiaYetu
Nelson Mandela alikaa gerezani miaka 25. Alipotoka mwendo ni ule ule hadi uhuru wa south Africa. Kinachoendelea Tz uhuru haupo na anyepigania uhuru ni Tindu Antipass Lisu. Yawezekana akakaa gerezani miaka 25 ya Mandela huu ni ushujaa . Great π¨
CHADEMA imehitimisha salama vikao vyake vya Kamati Kuu vilivyofanyika mjini Kigoma.
Maazimio yaliyopitishwa katika vikao hivyo yatatangazwa rasmi na viongozi wakuu wa chama kwa wakati utakaotolewa.
Kwa sasa, msimamo na kipaumbele chetu ni mambo mawili tu: Uhuru wa Mwenyekiti Tundu Lissu na Katiba Mpya.
Hii ndiyo dira yetu, ndiyo ajenda yetu kuu, na ndiyo mwelekeo tunaopaswa kuusimamia kwa umoja na uthabiti. Tusiache ajenda hizi zipotezwe na mijadala pembeni; tubaki kwenye mstari huu hadi malengo yetu yatimie.
#KatibaMpyaFreeTunduLissu
When investing in a foreign country, you must evaluate 1. Nation's political stability,
2. currency exchange risks, 3. legal protections for foreign capital.
4.Taxation laws, infrastructure quality,
5. Capital requirements imposed by the host government.
Ningefurahi sana baada ya hizi pilikapilika za maandamano kwisha wote tupo salama tumelindwa kwa mujibu wa Katiba.
Sasa tujielekeze kwenye Ufisadi uliohojiwa wa CAG naona kama tunasahaulishana hivi. Hoja hizi Zijibiwe:
1. Ujenzi uwanja Arusha Afcon 338Billion ?!
2. ATCL hasara
#TANZANIA: WANANCHI WAMEFICHUA WAHARIFU NA TUMEWEZA KUWANYAKUWA - KATAMBI
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi hii leo Julai 07, 2026 akizungumza na Wanahabari maeneo ya Ubungo maji jijini Dar Es Salaam alipokuwa akiangalia hali ilivyo baada ya uwepo wa tishio la maandamano nchini hapo amesema hali ni shwari kote nchini na kwamba Wananchi walitoa taarifa ya waharifu na wakafanikiwa kuwanyakuwa mapema sana, "wananchi wamefichua waharifu na tumeweza kuwanyakuwa ili waweze kufika kwenye vyombo vya sheria"
Zaidi: https://t.co/1aV3Wmxv9v
When investing in a foreign country, you must evaluate 1. Nation's political stability,
2. currency exchange risks, 3. legal protections for foreign capital.
4.Taxation laws, infrastructure quality,
5. Capital requirements imposed by the host government.
Location ilikuwa ni Tanga
All changed baada ya Samia kuropoka na kukombeza rais mwenzie mbele za watu na kuongelea mradi kama kitu kidogo tu na haujui mradi wenyewe
Ruto aliposimama akasema hata hivyo sehemu za kujenga ni nyingi sio lazima iwe Tanga hivyo hakuna shinikizo lolote kwamba watajenga Tanga
Na Hivyo ndivyo Tanzania ilipoteza mradi na inapoteza miradi mingi sababu kuna mtu hana uwezo anajua kutumia bunduki kuiba chaguzi
When investing in a foreign country, you must evaluate 1. Nation's political stability,
2. currency exchange risks, and legal protections for foreign capital.
3. local taxation laws, infrastructure quality,
4. minimum capital requirements imposed.
What's gone wrong with DANGOTE
Maandamano yamefanikiwa. Maduka yote yamefungwa huku Sinza, biashara leo zitazorota, Matamko ya maandamano ndo yanaamua watu wakae ndani au watoke.
Sasa tutaishi hivi hadi lini, kwa hali hii uchumi utakuaje.
Watawala wajitafakari maana tutafanikiwa kutisha watu watatishika watakaa ndani sawa lkn ndo imesaidia?
Amefuata principles za uwekezaji foreign country. Muhimu economist wake wameangalia yafuatayo;
1. Political stability π
2. Government Registration
3. Taxes
4. Energy ( Electricity)
5. Investment Policy
Baadhi ya madai ya #7UP ni mepesi sana
kwanza hizo safe House ambazo makonda anashikiria watu wote waachiwe mara moja, Lissu awe uhuru,
Safe house za Abdul zote zifunguliwe watu waachiwe
Safe house za TISS na JWTZ hasa hapo kigamboni vifunguliwe na watu wawe huru
Kuteka watu ikome, vikosi vya kufanya operation haramu vifutwe vyote nchi nzima, Polisi reform ifanyike kabla ya katiba Mpya kupatikana
tunataka uwajibikaji na #KatibaMpya
Haya ni madai ya kibinadamu kabisa, tena madai simple kwa taifa lenye utawala bora lolote lile Duniani
Matokeo haya yanazalisha viongozi wajinga wajinga . Stock ya wasomi halisi ndio tumestaafu.
Kizazi cha wajinga kinakuja soon.
Haiingii akilini kushinda 99.92 mnaingiza siasa kuonekana awamu ya 6 kuna wasomi wanafaulu na kufurahishana na kusifia sifia . Tumepotea njia !!!
Matokeo ya mitihani ya taifa yanafanana sana na yale matokeo ya βuchaguziβ 2025.
Shule hazina walimu, vitabu, maktaba, maabara, kompyuta, viwanja vya michezo, karakana, na mengine yote ya muhimu katika issue nzima ya ufundishaji na ujifunzaji.
Cha ajabu, ufaulu 99%!
ππππ
Kama ulinzi upo wa kutosha JWTZ, Polisi, Magereza, FFU ,Mgambo, ulinzi shirikishi , imekuwaje msishawishi wananchi na wafanyibiashara kuendelea na Biashara zao?
Mtizamo wangu ilitakiwa Bisara ndogo Kuruhusu maandamano ya amani wananchi watoe ujumbe wao waende nyumbani.
!!???
TRA waseme ukweli leo wamekusanya Kodi kiasi gani toka mfumo wa EFD Machines. Ni Hasara nchi maskini kama Tanzania siasa kutawala kuliko kuzingatia Uchumi wa Nchi. Kariakoo imesimama kila sehemu maduka closed. Ccm wajitathmini upya
@HildaNewton21 Kwa viongozi wenye akili timamu hii ina athari sana kiuchumi kwa Taifa na kwasababu hiyo wangefanya jitihada zozote kutatua matatizo ya wananchi wao ili kuepuka hali kama hii kwani pia ni pesa nyingi za walipa Kodi zinatumika kutisha na kuzuiaπ
Mtanzania wa Pili baada ya Mwl JKnyerere kuipeperusha vema Bendera ya Tanzania πΉπΏ. University of Birmingham
Kuwekwa kwenye International magazine for Supply Chain professionals in UK of Nov ,2016, Volume 16.
Baada ya kuwa awarded final Membership ( MCIPS)
of Nov 16 ,2011.