Habari yako boss wangu,tumekuletea offer kubwa kwa wale wateja wetu wa mabango, decorations and branding
Kwanzia kesho hadi tarehe 25/05/2024 ukitusogezea kazi ya bango kuanzia meter 6, utapata bango la ndani buree pamoja na video kama hii apa chini free kabisaa
๐0765 165 084.
I'm Graphics Designer
Siku nyingine Tena Mteja wangu nikamtengenezea Poster ya Michezo ya kutangaza PUB yake Mechi zote zinaoneshwa.
#Naomba RT nipate mteja huenda mteja yupo kwenye Timeline yako
#Blockergraphics
@fgdewji Wazo langu la utotoni ilikuwa kuja kumiliki kiwanda cha Mabango ya LED Screen, hii ni kutokana na exposure niliyoipata nlipotembelea Chicago Marekani 2010..
But still am fighting to make it happen,kwasasa tunafanya mabango ya 3D but one day tutafika huko kwenye LED SCREEN.