AFCON 2027 TANZANIA haitakuwepo na hii kampeni tutaifanya kwa WIVU MKUBWA SANA.
Kama tulivyosema hakutakuwa na UCHAGUZI 2025 na haukufanyika na sasa tunaenda kuzuia AFCON isifanyike.
Mwaga moto kama DRAGON kama unaungana na mimi๐ฅ๐ฅ๐ฅ
REPOST 500
#NoDemocracyNoAfcon
Ukitaka kujua kwamba Idd Amin Mama na washirika wake walikuwa wamejipanga kuuwa Watanganyika Oktoba 29, 2025.
Baada ya watu kuandamana muda huo huo Polisi walianza kuwafyatulia risasi za moto wakati kawaida njia ya kutuliza au kutawanya Waandamanaji ni mabomu ya machozi au maji ya kuwasha.
Idd Amin Mama na washirika wake hawakutaka kabisa kutumia Mabomu ya machozi wala Maji ya kuwasha kwasababu lengo lao lilikuwa ni kuuwa Watanganyika wengi kwa kadri ya uwezo wao.
Ndo maana walipoona Maandamano yamepamba moto ili watuuwe vizuri bila Dunia kuona, walizima Internet, wakakata umeme then vikosi vyao TISS, KMKM, Jeshi la Polisi na Wanajeshi wa kukodi kutoka Uganda wakaingia mtaani na kuanza kupiga risasi kila waliyemkuta barabani.
Walipomaliza kuuwa watu Barabarani, kwenye Bar n.k wakahamia majumbani, kuna mahali walikuwa wakivamia kwenye nyumba ya mtu, walikuwa wanaamuru wanaume wote watoke njee, wakitoka tu njee wanapigwa risasi wanauwawa.
Walidhamiria kuangamiza Taifa letu ndo maana katika kupiga risasi walitarget Wanaume.
Halafu baada kuuwa Watanganyika zaidi ya elfu kumi Nduli Idd Amin Mama akasema kwamba โNguvu iliyotumika Oktoba 29 iliendana na tukioโฆโ
Kamwe hatutasahau Ukatili wa Idd Ami Mama pamoja na washirika wake, Damu ya mtu huwa haiendi bure, damu za Watanganyika wenzetu zitamlilia yeye na kizazi chake mpaka siku waingia kaburini.