Kuna wimbi kubwa la
Madaktari kuacha kazi katika hospitali za umma na wengi wao wanaingia katika shughuli zingine za kiuchumi mtaani .
Hii inaweza kuwa red flag kwa serikali na nchi kwa ujumla ya kuwa na uhaba wa hawa wataalam hapo mbeleni .
REKEBISHENI MASILAHI.
Usiogope kujitafuta upya, hata kama italazimu ku-relocate.
Maisha ni marathon,Using’ang’anie vitu, mazingira, au watu ambao hawakufanyi kukua, bali wanakuua taratibu ndani yako.
Wakati mwingine hatua ya kuondoka ndiyo mwanzo wa kuishi kweli.
Mwenyezi Mungu atujaalie mioyo ya kutosheka na kukinai haya matamanio ya ulimwengu. Wakati mwingine unatamani kupata zaidi wakati yupo anayetamani kupata hata theluthi tu ya ulichonacho wewe.
Ee Mola, tunakuomba utupiganie vita zetu za siri na za wazi, zile zinazoonekana na zisizoonekana. Tupiganie kwa uwezo wako, utulinde na kila shari. Tujalie ushindi tunaoustahili kwa kudra zako, na utupe nguvu, subira na imani ya kusimama hadi mwisho.
Ameen. | Jumaa Kareem 🤝