@NJENJE_255 Azimio la Arusha linasisitiza kujitegemea na si kutegemea misaada na kukopa kutoka nje ya nchi ili kufanya miradi ya maendeleo cha ajabu. Mpaka sasa samia kwa miaka 5 tu amekopa kuliko madeni aliyoyakuta na pesa zinaliwa tu
@Thommunkondya 95% ya muda wa viongozi wakuu wa nchi wakiwa ofisin wanatumia kutengeneza propaganda, kuiba/kufisadi na kutengeneza njama za kuendelea kushika dola