Kuna ngulusumuu inatuambia mtaa yake kuna base ya milayas ukiwa mbaya unaenda ata kama huna shiet, kuna kitabu apo unaandikiwa jina na chenye unadaiwa apo😂🙌
kuna baddie nimekua nikijaribu kutupua ndoano and today she availed herself ndio we get to know more about each other..issue ni ameanza kutumia big words like what's your niche.. sijawaii mumble hivyo💔ame giggle tuuh na akaniambia have a nice day.. olusungu ni ngumu mamae🤦🏾
Buana unroadworthy vehicles zitolewe kwa barabara, yaani watu wanaona lorry flani kwa umbali wanatafuta shelter mamae lorry inatoa moshi kama makaa na ni nyeusi kama performance ya man u. Wamama wanalia tu wantam 🥲