Ukitaka kunasa hii watu ya Land Rover pitisha hii gari kwa flatbed mahali wakona meet. Utaona wameinua nywele kama honey badger.
Ghafla bin laden utaona jamaa wanakuja mbio kama bandit buana. Ukidhani wanakupora kumbe ni offer wanakupea uwauzie hiyo gari. Ata msipoelewana afadhali wakuachie bibi na vipii kama depost.
New Land Rovers don't excite them. Wanataka tu hii mkangaf waikalie chini from scratch.
Ukipata Land Rover kama hii imelala jua hawajainusa. Unapata mtu ako kule Kileleshwa lakini ananusa Land Rover imelala kule Hindi town.
Na ujue wakiimaliza hainunuliki mangai. Bei iko 3rd floor kama Harrier. Huyu ni mtu unaeza pea fiuda kama birthday gift akupige hedi
Hawa jamaa hapana mcheso