Siri kubwa ya kufanya mtu ajihisi anapendwa na kuthaminiwa, ni kumpa masikio yako.
โUnapokuwa msikilizaji zaidi kuliko muongeaji, unampa mtu usalama wa kufungua moyo wake bila hofu ya kuhukumiwa.
โSikiliza ili uelewe, usisikilize ili ujibu.
Wanawake bhana hawataki ndoa ila wanataka kuwa na wanaume wenye ela na kuwazalia waume za watu ili wake zao ndio wavumilie simu zao za usiku sehemu ya kumkandamiza mwanaume ndio sehemu mnaipenda na huku hao hao wanaume mnawataka au mnasagana ๐๐
@Hunaiya153989@sapro_phyticus4 Nyoko zao tena kuna mmoja yupo humu nakumbuka aliniendea hadi kwa waganga wa msumbiji nyoko zake ukimuona humu "Men are trash" trash baada ya kuachwa baada ya madawa ku expire nyoko nyoko zake huko alipo๐ฅฑ
@EmmanuelMa30199@zoetjesheeftX Shida sio dini shida ni "Mwanaume Timamu yeyote naturally kuna mazingira mke mmoja hatoshi" hilo likowazi halihitaji hata dini Mababu na mababu wakioabudu mibuyu, Walioa wake wengi, kabla hata dini hazijaja. Sema kingine
michezo,vikoba, kausha damu na vingine vingi vya kufanana navyo ni betting ya kimtindo, haina faida yoyote zaidi ya kumfanya mwanamke 'busy for nothing' . Unakuta anatoa elf 10 kila siku,baada ya siku 10 anachukua elf 90 eti zingine posho ya kijumbe,na 80% wana zini kupata hela
Kwenye VITA ya Iran na Marekani Mange Kimambi ametubloku watu wengi sana kisa kuikosoa Marekani kwenye vita vyake juu ya Iran.
Kuikosoa Marekani juu ya vita vyaka na Iran haikumaanishi tunaipinga Marekani juu ya kuangazia kwake uminywaji wa Demokrasia nchini Tanzania.
Element 3 za mikutano ya MbogaMboga.
1. Bodaboda waliobeba bendera kama mizigo mingine inavyobebwa.
2. Magari ya Mchanga na vifusi kwa ajili ya Kubebea watu
3.Uwepo wa Wazee wengi na watoto hasa Wanafunzi.
Ukiona dalili hizi huo ni Mkutano wa MbogaMboga.
Kupeleka Magari ya vifusi yakazibe Mashimo barabarani Visingizio vinakuwa vingi.
Ila Kutumia magari hayo Kubebea watu wakajaze mkutano bajeti ipo tuna Shida kwakweli.
Girishoni alisema tunaweza kujiendesha kama nchi bila misaada kama hii kwa makusanyo ya kodi kutoka ndani.
Girishoni alisema hii misaada inakuja na masharti ya kuwalazimisha wakubali mambo ya KISHOGA.
Nafikiri tupo salama kama nchi.
NB: MAREKANI INAFUATA.
GOOD MORNING.
Wapinzani vita yao ni Chama tawala kuonyesha mapungufu yao ili wao watawale.
Cha ajabu Chama tawala badala ya vita yao iwe maendeleo kwa wananchi na kuhakikisha yale mapungufu yanayosemwa wanayafanyia kazi,wameamua kuwashambulia wapinzani utadhani ndiyo wanaotawala๐๐๐
Imefika hatua sasa hakuna yeyote anaeamini kuwa Mwanaume anaweza kuwa na Mwanamke mmoja kwenye mahusiano na akatulia..
Upotoshaji mkubwa na mbaya sana huu..