Mkurugenzi Mwendeshaji Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC) Nd.Soud Said Ali akiwa na Mkuu wa kitengo cha Manunuzi wakisaini Mkataba wa Utendaji kazi Ofisini kwake Maisara
Umaarufu na ubora wa bidhaa zetu umetapakaa kote ndani na nje ya Tanzania. Shukran @sheikh_nurdeen_kishk kwa kututembelea na kujipatia kile kilicho bora kutoka @zstcznz.
#zstcimarakwamaishabora
Je wewe ni mpenzi wa mafuta ya mimea? Tuambie unapendelea kutumia mafuta gani kutoka @zstcznz ?👇
A. Makonyo ya Karafuu
B. Mchaichai
C. Mdalasini
D. Mkaratusi Madawa
E. Mkaratusi Manukato
Do you love fresh air?
Use lemongrass oil at home, kitchen and bathrooms to purify the air and enjoy a wonderfull smell. Lemongrass oil are available at @zstcznz in different volume at affordable price.
For more information please https://t.co/vw1FKVJ49a
Unatumiaje mafuta ya Mchaichai?
Mafuta ya mchaichai yanasifika kwa kuleta harufu nzuri. Lakini unajua mafuta haya pia hutumika kwa kufukuza mbu, kutibu maumivu ya misuli, na kama arki katika vyakula na vinywaji?
Yanapatikana madukani kwetu kwa bei ya jumla na rejareja.
Je wajua hii?
Ipo hivi! Mafuta ya Mkaratusi Manukato kutoka @zstcznz hutibu mafua sugu, kifua na pumu.
Weka lita mbili za maji ya uvugu vugu kwenye bakuli' weka matone 5 - 6 ya Mafuta ya Mkaratusi Manukato.
Funika kichwa chako kwenye bakuli kwa kutumia taulo, uvute pumzi vizuri