Kile ulichonacho au ulichoumbwanacho ambacho wengine hawana ndo cha kujivunia....
Kwa hyo..
kama una komwe vimbaaaa,,
Kama unashepu vimbaaa
We ni kibonge vimbaaa
Kimbaombao vimbaaa
Kama sura mbovu vimbaaa
Dear God,
Wewe tu tunakuabudu na wew tu tunakuomba msaada,
Tuweke katika njia iliyonyooka,
Njia ya uliowaneemesha na sio
waliokarisirikiwa wala waliopotea.
@Tanfootball@SimbaSCTanzania@tplboard Yes, mautopolo mapovu yanawatok ndo tushachukua ivo...
Anayway ila uandaliwe utaratibu mzuri wa kushiriki hili kombe,nadhan Top six kwa kila upande bara na Zanzibar then kuingia robo kuwe na best loser kwa pande zote yataleta msisimko
MSWAHILI
1. Yeye ndo mjuzi wa kila kitu
2.Asiambiwe ukweli
3.Yeye ndo wa kuonewa wivu kila siku
4.Jambo ufanye ww limpendeze yeye tu
5.Yeye ndo wa kuchukiwa bila sababu
6.Chakwako chake chakwake chake
7.Maneno yako pumba yake point
8.Uongo kwake ni kama katiba
Wema na maovu hayalingani,
Pinga uovu kwa lililojema zaid,
Hapo yule ambaye baina yako pana uadui atakuwa kma rafiki,jamaa wa kukuonea uchungu.
" Surat Al Fussilat"
π§π’ π§ππ π€π¨ππ₯π§ππ₯π¦!
πΉπΏ @SimbaSCTanzania step to the knockouts for back-to-back editions! β
#TotalEnergiesCAFCL
@mdudechadematz @IAMartin_@rollymsouth@mkandamizaji Raia tunakubali kama mnayoyadai kwenye serikali ni haki..Shida kila kitu kwenu ni kibaya ...mna lugha chafu sana ila muandike nyie na mdhihaki nyie aah hpo saw! Na mnafurahii ...ila mkidhihakiwa nyie mnatengeneza uadui..yan hamtaki mtu awe na mawazo tofauti na nyinyi ..