@Dominicksalamb1 Ila kusupport Yanga mda mwengine kazi sana aisee sasa huyu ndo ameandika nini eti nae ana cheti cha uandishi wa habari dah nchi ngumu hii
@mzawaMUFC Huyu anaitwa CLAUDE RE LOY alikuwa amekaa karibu na Alhaj Diof kule juu baada ya sekeseke alishuka chini kuongea na mane ila yeye ni Coach wa timu nying za africa aliwahi fundisha cameroon ikachukua ubingwa mwaka 1988 pia Ghana,nigeria pamoja na senegal yenyewe.
@AimPredi Mimi wame sepa na mkeka wang ulikuwa na asilimia 80 za kushinda nakuja kuuangalia siuon natafuta nan kanichania hawauwek wakat game zote zaja na mda huo zilikuwa fresh siku waelewa kbsa.
@FKihamu Jamaa akianza huwa anakuwa na makosa mengi yanayo gharimu timu sana ila akitokea benchi n mzuri sana kwenye kusoma mchez n kuubadili kwa haraka mno what a talent...
@tenende_martial@PlanetFutbal Yan una hojiw kabisa unajbu simba wasifnguke ili yanga awe n muda mwing wa kuchezea mpira na kupat nafasi kirahis eti wanamuita mchambuz dah kuna tofaut ya mtu aliepend mpira kwanz akafuata tim n kuna tofaut ya aliepnd timu n kufuata mpira hiz kaz za connection znatletea wajinga
@eastafricatv Yan watu munavyo comment mutafikiri hamfualtilii mpira real madrid sio timu ya kubeza hata siku moja mutakuja hapa kuandika misifa kibao mambo yakiwa kwel punguzeni kamdomo..