@MariaSTsehai@MariaSTsehai Haya ma space yenu yanapotosha sana jamii hata kama nyie ni wanaharakati, lakini mlipofika kusema eti kuna mtanzania hajui lami au rangi ya maji huu ni upotoshaji ndiyo maana @kigogo2014 kawapiga chini yani ni mambo ya hovyo sana
@MariaSTsehai@HildaNewton21 Heri katika kusherehekea kumbukizi ya siku ya kuzaliwa @MariaSTsehai Shangazi wa Taifa ingawaje tuna shangazi fake lakini MUNGU analiheshimisha jina lako kwa kukupa mwaka mwingine zaidi hongera sana.
ASKARI MAGEREZA AFANYA UJAMBAZI NA SILAHA YA KAZI SINGIDA.
ASKARI MAGEREZA AFANYA UJAMBAZI NA SILAHA YA KAZI SINGIDA.
Ilikua mnamo tarehe 25 mwezi 11 majira ya saa 1:30 usiku zilisikika kelele za mwizi mwizi katika duka Moja la Mpesa maarufu kwa jina la "UP TO DATE"