Accounting & Taxation Expert
Online Application Expert
Forex Trader
WAEFESO 3:20
Proud Tanzanian
YESTERDAY IS NOT OURS TO RECOVER BUT TOMORROW IS OURS TO WIN
#BE_HUMBLE
A humble person is not proud and does not believe that they are better than other people.
//
#KUWA_MNYENYEKEVU
Mtu mnyenyekevu hana kiburi na haamini kuwa yeye ni bora kuliko watu wengine.
Makabila Yenye Mahali Kubwa Zaidi Tanzania
1. Wachaga= 3M-10M
2. Wahaya=3M-12M
3. Wasai= 2.5M-7M
4. Wasukuma=2M-6M
5. Wanyakyusa=1M-6M
6. Wapare=1.5M-4M
7. Wahehe=1.2M-3.5M
8. Wairaq=1M-4M
9. Wazaramo=1M-1.9M
10. Wagogo=800k-2M
NB:Angalia hapo ukilikuta Kabila Lako tusalimie Kidogo
Ni kweli na hakika ya kuwa hakuna namna unaweza pata umilili katika kampuni ikiwa hujanunua hisa, kumbuka tu ya kuwa uwekezaji ufanywa na watu wengi sana katika kampuni ila mmiliki halisi ni yule mwenye hisa nyingi zaidi.
Note
Hii post haihusiani na biashara.
Hakikisha una mazingira mazuri na nyenzo sahihi za biashara, tafuta mtaji ikiwa ni pamoja na gharama za uendeshaji, usisahau elimu husika baada ya hapo, ANZA BIASHARA
My hiden talent..
UFUGAJI
Mimi nilianza na mtaji wa laki tatu(300,000) kufuga kuku wa nyama..
Sasa nashukuru nimefanikiwa kuwala wote.
Happiness is free
2 Samweli 22:50
Basi, BWANA, nitakushukuru kati ya mataifa,
Nami nitaliimbia jina lako.
//
Therefore I will give thanks unto thee, O LORD, among the heathen, and I will sing praises unto thy name.
Zaburi 37:4-6
[4]Nawe utajifurahisha kwa BWANA,
Naye atakupa haja za moyo wako.
[5]Umkabidhi BWANA njia yako,
Pia umtumaini, naye atafanya.
[6]Ataitokeza haki yako kama nuru,
Na hukumu yako kama adhuhuri.
Jizoeze kutochukua kitu chochote binafsi ili kujiokoa kutoka kwa 99.99% ya matatizo ya akili.✍🏽
//
Train yourself to take nothing personally to save yourself from 99.99% of mental problems.✍🏽
Je ni kigezo gani kinacho thibitisha uhalali wa Uraia wa Mtanzania!?
(i) NIDA
(ii)CHETI CHA KUZALIWA
(iii)NDUI
(iv)KITAMBULISHO CHA MPIGA KURA
(v)Barua ya Makazi.
(vi) PASSPORT (HATI YA KUSAFIRIA)
(vii) LESENI YA UDEREVA
Je ni kigezo gani kinacho thibitisha uhalali wa Uraia wa Mtanzania!?
(i) NIDA
(ii)CHETI CHA KUZALIWA
(iii)NDUI
(iv)KITAMBULISHO CHA MPIGA KURA
(v)BARUA YA MAKAZI.
(vi) PASSPORT (HATI YA KUSAFIRIA)
(vii) LESENI YA UDEREVA