Kaka names Cole Palmer as the English player that excites him most.
Rio Ferdinand: "Why Palmer? What’s it about him that you like?"
Kaká: "I like his style. It’s because for me football was really [a] simple way to think. I need to get the ball and take it to that place. And I think Palmer had a little bit of that. It’s very simple for him. Just take the ball and move towards the goal. Doesn’t matter. Let’s go. So I like the way that he plays."
{Rio Ferdinand Presents}
Watanzania, mambo yanaendelea vizuri. Dunia ipo na sisi. Msiwe na hofu, tutashinda. Bado kuna kishindo kinakuja. Keep on fighting.
Nipo na begi la maamuzi magumu. Yajayo yanafurashisha
#TanzaniaMassacre#FreeTunduLissu
Sisi Watanganyika tunajiona tuna entitlement fulani hivi. Wako Wabara wamewahi kuzungumza maneno magumu sana bungeni kuliko hata haya ninayoyasikia kutoka kwa Wazenji sasa. Muungano ukivunjika, tutajua kwamba tuliobaki ni Wajaluo, Wachaga, Waha, Wasukuma etc. Hakuna Watanganyika
‼️MUHIMU KWA WAZALENDO WOTE🚨‼️
Ikiwa imebaki mwezi mmoja kufikia SabaSaba kuna tangazo limewekwa na Gen Z na Gen zote kuwepo kwa maandamano nchi nzima.
Sasa nashauri serikali haramu, vyombo vya Dola na chama cha maharamia CCM yafuatayo:
👉🏽 nakumbuka ktk mazungumzo na marehemu Baba yangu alikuwa ananisimulia matukio aliyoyapitia na alisema unapoenda kuongea na watu waliogoma au walioandamana usitumie nguvu na usiende kuwaona ukiwa na hasira! Wasikilize wakutukane weeee hadi adrenaline zao zishuke ndo muanze kuongea ila waache wafunguke na wasikilize!
Mlikosa busara KABISA Oktoba 2025 mkakubali kupelekeshwa na Abdul ambaye hana cheo serikalini?! Leo wote mnarukana ila wote mmeonekana wauaji!
Sasa mmewaua MAELFUU na kuzika miili yao kisiri - je ndugu wa hao mliowaua mnafikiri mtapunguzaje hasira zao!? Kwa kumwaga damu zaidi? Mnajua mwisho wake!? Hizi adrenalin hazitapoa tena kwa maneno!
👉🏽 Vikosi vya ulinzi na usalama kazi yenu SI KULINDA CCM! Leo hii Mafwele ndo kapigwa ban na si mtu yeyote wa CCM au serikali na bado atahaha na wengine! Hawa wanasiasa wako wapi kuwasaidiane? Kesho mambo ya kibumbuluka Abdul ataenda zake Oman na mama yake! Mtafungwa ninyi! Ndo iwe fundisho!
👉🏽 Maandamano ni HAKI na si uhaini! Cha muhimu mlitakiwa kuruhusu hata CHADEMA na wanaharakati waongoze haya maandamano ili tuwe na njia nzuri na wazi - leo maandamano haya yanaongozwa na watu wasio na jina au sura! Hata mi leo mkinikamata maandamano yataendelea maana watu wamechoka washajipanga kwa kaya! Mi napenda huu utaratibu maana ndo itakuwa na mafanikio kuliko kukamata wachache na kutuwinda kila kukicha! Ila kwenu ni karaha hamjui nani ni nani! Na pia wengine wana hasira tu wanaweza kuamua kufanya magumu na hakuna wa kuwakanya - wameshavuka mstari wa kuambiwa jambo!
👉🏽 JWTZ mmeruhusu vikosi shenzi vya Abdul na Mafwele pamoja na jeshi mamluki ya nje to operate with impunity! Wameua mbele yenu kwa silaha wananchi wasio na hatia! Vijana wamefumuliwa ubongo mbele yenu na mlibaki kuangalia au kurudi kujifungia makambini!
Mmefungua mlango kwa ushenzi zaidi na kesho hata majeshi ya jirani mf ya Uganda wakiamua wenyewe kuvuka na kutuua mtashindwa kudhibiti! Mmeonyesha hadharani udhaifu mkubwa na pona yenu ni kusimamia ulinzi wa wananchi! Kama ambavyo Oktoba 29 tuliamini mnatulinda na watu waliandamana kwa kujiamini ndivyo 7/7 acheni wananchi waandamane na muwalinde haswa! Na msiruhusu Abdul au kikosi chochote kuwaua na wanajeshi watakaodhuru wananchi wachukuliwe hatua kali!
Acheni watanganyika wapumue! Na rudisheni nchi kwa wananchi tuanze upya!
Huu ujumbe si ya machawa maana hao wanajua dili yao imebuma tayari! Naongea na WAZALENDO waliopo kwenye mfumo na ninaamini mmenielewa
Sisi tunasema 7/7 tunatoka! Tulindwe!
#SamiaMustGo #Haki kwa wote na uwajibikaji kwa mauaji halaiki ya Oktoba
Watanzania hakuna movement ya maana tutaweza kufanya kupitia X. Ni lazma tuzipate accounts za instagram.
Ukombozi uko instagram na tiktok, huku X ni kwa ajili ya ku-communicate na dunia Ila hakuna connection na wananchi inaweza kufanyika kupitia X.
@tausilikokola@Liberatus80 Lazma tupush tupate senate intervention or hearing juu ya meta. Bila kupata platform ya instagram tutaishia kupiga midomo ila mobilization ya wananchi hakuna. Na CCM wanachoogopa ni wananchi kudai haki sio wana harakati kupiga kelele ambazo hazina effect kwa wananchi.
Sasa hivi what we need is kuamsha wananchi wawe focused kama kipindi cha uchaguzi. Tukimix mobilization ya wananchi kupitia social media plus international pressure tutashinda. Ila kwa hii strategy ya Sasa, just pushing for international pressure bila pressure ya wananchi hatutoboi….
Bila kupata accounts za instagram hakuna movement ya maana tutafanya.
We have to push for @meta to face pressure from human rights organizations and the senate to reactivate my Instagram accounts.
Mwambieni muuaji hao madikteta wenzie hapo, Maduro na Assad nchi zao zilikuwa na umuhimu zaidi kwa Russia kuliko umuhimu wa TZ kwa Russia ila 40 yao ilipofika Putin alitulia akaacha wang’olewe madarakani..
Mwambieni hakuna wa kumjibu vifo vya October 29.
Nduli Idd Amin Mama akimtambulisha mtoto ake kwa Putin.
Hawa wamejimilikisha nchi imekuwa kama kampuni ya familia yao wanafanya wanachojisikia, Mkapa alikuwa Rais, anawatoto ila hajawai kufanya huu upuuzi,
Kikwete alikuwa Rais anawatoto ila hajawai kufanya huu upuuzi. Magufuli alikuwa Rais, anawatoto lakin hajawai kufanya huu upuuzi,
Nduli Idd Amin Mama anatudharau sana Watanzania ndo maana anafanya huu upuuzi bila aibu wala kificho ni kama anatumbia “Ndio nimesafiri nae na hakuna kitu mtanifanya”