@EliabuDanford@BarakaMaviatu@SirGideon_S hapa ndipo imani hua inajifichia ukifikia muda wa uwajibishwaji maana ikitokea mtu kapona sifa apewe Mungu, mtu asipopona anaangushiwa mzigo kuwa hakuamini hata kama aliamini!
@YusuphMbilinyi8 ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ kibongo bongo tunalipana pesa ndogo sana pia, ukiwa comfortable kidogo tu ukajisahau kujichanganya na mtaani uongeze kipato hutoboi!