@Granitinho85459@Chriss22122015@millardayo Rudia tena kabla hujakosoa.. Kazaa baada ya miez mi3 akahisi mtoto anacheza tumbon akapima akaambiwa ana momba ya miez mi4. Hao alipwazaa kumbuka wana miez mi3. Maana yake mwez wa 9 kabla ya kiujigungua alishika mimba tena
@RevocatusMagum1 Kisa kufungwa na Yanga. Hujui mpira we jamaa.. Mara ngap kocha kasema anahitaji mchezaji ambae yeye binafs anaweza amua mechi kipango ikigoma. Kaletewa? Uliweka post ya Fei kuja simba kilichoshindikana ni nini. Punguza mihemko unataka Kibu na Kapombe wapate nafas 100 wafunge sio
Unity shaders are like Blender shaders mixed with Geometry nodes. Which is awesome, also you can use animation curves in to fine tune stuff ๐๐ฎ๐ค #Unity3d
๐๐ Kuna big platforms walikuwa wanasema We only have Aishi bado miezi tucheze CHAN na AFCON halafu hapati nafasi kwa timu yake (Simba SC)
TZ We are finished
Binafsi Kuna post Moja nilijibu YAKOUB ni best GK we have at the moment
Let's pray for him to be consistent ๐ช
Tulia. Tathmini. Panga upya.
Nimefurahi kuwa na mazungumzo ya maana na Kocha Fadlu @davidsfadlu โ katika msimu wake wa kwanza, akiwa na kikosi kipya na benchi jipya la ufundi, ameiongoza Simba SC kufika fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF.
Chini ya Kocha Fadlu Davids, Simba imefika fainali ya CAF Confederation Cup, fainali ya pili ya kimataifa katika historia ya klabu.
Msimu huu ulikuwa wa kujenga timu. Na bado tukafika fainali, licha ya upinzani mkali.
Simba haitazuilika msimu ujao ๐ฆ๐ช๐ฝ
#Simba #Nguvumoja
#LionHeart #SitaachaKuipiganiaSimba