@ndoro_j@Tollant_@Sisimizi3 Ukisema "tupo kwaajili ya taarifa sahihi na mteja wetu" mpaka anasnza kuzunguka zunguka kwanini baba levo alitaka taarifa za ommy au hali iliyokuwa inaendelea baina yao? Acha kuchanganya mambo
@amteemo_9928@Sisimizi3 Sawa wewe unaelewa zaidi ila chipando hakutaka taarifa za mteja wao ila halitaka kujuwa hali iliyokuwa inaendelea baina ya mteja wao... kwani uyo officer angesema "tupo kwaajili ya kuweka Sawa taarifa za mteja wetu angepungukiwa na nni"
@Beast7TZ@MAJANI_MASHA004@iam_saii1206@Sisimizi3 Baba levo ni mbunge lkn uko bungeni Kuna kamati yupo na nimtendaji Hai kwahy Kuna mambo hata Yakima hayako sawa na haki ya kuhoji ili badae kwenye kamati husika anaweza akaelezea kwa uchache
@Beast7TZ@MAJANI_MASHA004@iam_saii1206@Sisimizi3 Sasa ukiulizwa Kuna kitu gani kinaenda si unajibu kwamba "kesi ya sisi na mteja wetu haijakamilika ndo maana tuko hapa" mbona jibu jepesi na kila mtu anaelewa kazi ya TRA, Lkn imagine ni wewe unaambiwa muulize mwenyewe inakaaje hiyo kwamba TRA ni miungu watu?
@KarokolaPa17032@MUUZAVITU12@Sisimizi3 Sometimes ni kawaida yao kufanya Doria usiku kipo kitengo cha kuzui Magendo lkn mtu ni haki kuhoji na akapewa Majibu sahihi ila sio taarifa zingine
@Tollant_@Sisimizi3 Wapi baba levo kataka data za uyo mteja yeye kataka kujuwa situation gani inaendelea mbona ishu simple afu mnacopiana kila mtu anasema data protection
@amteemo_9928@Sisimizi3 Na wewe ni sahihi kisa Nina silaha smg nifike nakube watu hata wasiambiwa kutaka kujuwa nini kinaendelea hata kama muhusika yupo? Au mlitaka ommy aseme nilikwepa kodi?
@amteemo_9928@Sisimizi3 Ommy Hana shida ... shida ni kuelezea situation inayoendelea hapo mbona ni jambo jepesi. Ukienda sehemu jitambulishe kwanza kabla ya yote
@roadman__n Mnachanganya mambo kwani baba levo anahitaji data za mteja au anataka kujua situation iliyopo baina ya mteja wao na wao maana yupo mazingira yale???
@Beast7TZ@Sisimizi3 Sasa hapo mzazi na mambo ya X mijadala yanaingiaje. Pia sehemu yoyote sijajuwa kama uliwahi kuwa mtumishi popote ila siri za sehemu ulipo ni sahihi. Baba leo haitaji taarifa Hana taka kujuwa situation inayo endelea . Mbona ni swala dogo mzee mnatumia nguvu nyingi
@roadman__n Lakini mbona swala dogo imagine nakuja kwako nakuta uko na mzee nachukua kitu chako mzee anahoji unamwambia Hana haki kwasababu mteja wanakulindia siri ..haina maana hiyo
@allan_kajembe@Sisimizi3 Sikilizeni hadi mwisho kasema watu wanachukuliwa muda mwingine wananchi hawezi kuhoji lawama wanapewa serikali. What if wangeenda nae aweke taarifa zaidi watu wangejuwa anaenda wapi?
@roadman__n Pale mchana kweupe tegeta maafisa TRA kupigwa mpka kulazwa muhimbili ilikuwjae au leo mmesahau? Acheni hizo mbona wewe ukishikwa road na traffic unapiga kwa mnara wako wenda mwanajeshi mbona husemi ni unaingilia ishu ni kuelekezana acheni
@Rydx_017 Mwananchi ana haki ya kuhoji utendaji wa serikali lakini sio kuingilia mamlaka tendaji kufanya kazi. Uyo baba leo kahoji kipi kinaendelea mbona usiku usiku ni yake yake kuambiwa wala sio kutaka taarifa Zaid zaidi. Watz tuko vzr kwenye Keyboard ila maswala muhimu tuko mbali