Bro!
Ukishaa anza kutengeneza pesa:
Ajiri dada wa kazi,
Nunu kitanda kizuri,
Nunu laptop,smartphone zenye kasi,
Nunua meza na kiti kizuri cha kufanyia kazi,
Jiunge na gym nzuri,
Kula chakula vizuri,
Utaongeza uwezo wako wa kufanya kazi na kuzalisha matokeo mara 10 zaidi.
@godbless_lema Kuna kitabu kinaitwa
How to launder money
Kimeelezea vizuri sana jinsi gani hotel , private menu na bars used to do this stuffs.
Plus fashion twendeni taratibu
@royalmediatz Ina make sense kwa watu wanaosikiliza bila ushahidi
Ila hii taarifa inaniambia kwamba kuna watu wamelipwa million miatatu ili waue
Kwangu ndo ina sound ivo
Nimesaidia zaidi ya Traders 200 (na bado naendelea kusaidia) kuunda "EDGE" mfumo bora wa kulinyonya soko.
The profitable trading system ambayo inaunganisha components za concepts mbali mbali (Different trading Strategies) nakuifanya kuwa Jiwe moja (One trading system).
Nimeunda Community ya traders kwaajili ya kuvutana, kushikana Mkono, kuelekezana na kukua pamoja ndani ya Industry (Familia). Sio rahisi kukata tamaa kwa mtu ambaye ni sehemu ya Familia yetu.
Now, nimekuwa nikitrade na personal account kwa muda mrefu, lakini kwa kutambua kuwa sio kila mtu anaweza akafikia kuwa na personal account size kubwa Ambayo inaweza kumfanya asitrade kwa pressure na kubadili Maisha, nimeunda Kampeni ya watu kujiwezesha ku fund personal account zao kupitia PropFirms. Yaani, nitawapika matraders kwenye Technical Ili kuunda Edge, then tutakuwa na Msasa wa Psychology na Discipline. Kisha tutazigeukia Propfirms kununua account kubwa kwa pesa ndogo kisha tutazitrade ziwe funded, after payot Tuta-Fund Live accounts na kutrade ili kutengeneza Pesa.
HII KAMPENI ITAANZA MWEZI WA NANE AMBAPO MTIRIRIKO WAKE UTAKUWA KAMA HIVI
1. Mwezi wa 1 (August)- Tutakazania kwenye Technical kwa kuangalia Gaps zilizopo na kuzi sort. Kuweka utaratibu wa karibu na wanafunzi na ku stick na Ratiba yetu ya vipindi. Kwa wale ambao wanahitaji usaidizi wa karibu zaidi (wanajifunza Slow slow) tutawasaidia kwa kuwapa Wanafunzi wenzao pia ambao wako vizuri na wana Perfomance kubwa sokoni wawaelekeze na kuwasimamia ili kuunda usawa (au hata kukaribia usawa) wa uwezo wa kuli-approach soko. BUILDING PROFITABILITY.
2. Mwezi wa 2 (Septemba)- Tutautumia Mwezi mzima Kujenga Psychology na Discipline kwa kuendesha vipindi mbali mbali vinavyohusu Psychology na Kuweka utaratibu wa kusikiliza Changamoto za Mmoja mmoja zinazohusu Saikolojia na kushauri njia bora inayoweza kupunguza athari na madhara ya psychology Mbovu Sokoni.
Mwezi wa 3 (Oktoba). Tutatumia wiki Moja ya mwanzo kuchambua kuhusu Propfirm, Rules, na utaratibu wa ku-Acquire na ku pass PropFirms. Then mwezi huo huo Nitawaruhusu wanafunzi waanze kutrade prop. Hii itakuwa kama huduma na sio Shuruti kwa mwanafunzi yeyote.
MORE UPDATES TO COME.....
Mokiwa, The scalping Professor!!
@MariaSTsehai Kwenye nchi hii yenye median age ya 18
Watunga sera na walipo madarakani ni wakati wa kujiuliza maswali maswali 2
https://t.co/22OxB0d0wV tunaweza kuwadanganya hawa watoto/vijana
2.watasikiliza huo uongo na kuuvumilia mpaka lini?
Majibu baki nayo