Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi ametangaza taarifa ya msiba wa Hafidh Ameir Hassan, Mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
#MillardAyoUPDATES
Rasmi: Ayyatollah Mojtaba Khamenei hatohudhuria kwenye shughuli za mazishi ya baba yake
Iran imekataa kuwa Mojtaba hatohudhuria kwenye msiba huo kutokana na sababu za kiusalama
Ikumbukwe kuwa siku ya juzi waziri wa ulinzi wa Israel Katz aliweka wazi kuwa Israel bado ina mpango wa kumuua Mojtaba Khamenei